Mitihani ya Darasa la Sita 2025 – Masomo Yote (Monthly, Midterm, Terminal, na Annual Exams)
Kwa wanafunzi wa darasa la sita na wazazi, mwaka 2025 unakuletea mfululizo wa mitihani muhimu kwa kila muhula. Kwenye tovuti ya Msomi Bora, tunakupa mitihani ya kutosha ya kujitayarisha kwa:
Mitihani ya Mwezi (Monthly Tests)
Mitihani ya Midterm
Mitihani ya Muhula (Terminal Exams)
Mitihani ya Mwaka (Annual Exams)